- Version
- Download 57
- File Size 6.04 MB
- File Count 1
- Create Date September 12, 2022
- Last Updated September 12, 2022
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26, Toleo la Mwananchi
Lengo kuu la Toleo la Mwananchi la Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano ni kukuza ushiriki wa wadau katika utekelezaji wa Mpango kwa kuongeza uelewa wa jamii kuhusu Mpango. Toleo hili linakusudia; kuongeza ufahamu wa jamii kuhusu Mpango, kuhamasisha wadau kutimiza wajibu wao na kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Mpango, kusaidia wadau kutambua fursa zinazopatikana kupitia Mpango huu na kuzitumia ipasavyo, kuongeza uwajibikaji kwa kutumia nyenzo ya ufuatiliaji wa umma.